SCIENTIFIC AND ISLAMIC RESEARCHES

Ukweli Ambao Hutasoma Makanisani / The Truth Which You Will Not Learn From The Churches./(Swahili and English Translation Section By Section.)

1-Enyi binaadamu wenzangu, habari zifuatazo huwezi kusoma makanisani:

2-O My fellow Huma Beings, the following information you will not learn at the Churches:

1-Mtume Mohamed (Amani Na Sala Za Mola Zimfikie) Ametajika Kwa Jina Katika “Wimbo Bora”, Mlango Wa Tano Verse Namba 16.

Katika Lugha ya kiyahudi “im” hapa inaongeza heshima kwa yule tunayemwita, na hali kadhalika “im” imeongezwa hapa kwa ajili ya kumpa heshima Mtume Mohamed. Na katika Lugha ya kiingereza Wafasiri wamefasiri hata jina la Mtume Mohamed!!! kama ni “altogether lovely” na Pia tunapata Tafsiri ya Kiswahili kama ni “Ndiye Mzuri Sana Pia Pia” Kwa kweli haya Ni Makosa ya Wafasiri wa Lugha Wa Lugha.
Tafsiri Iliyo sahihi ya Neno “Muhammaddim” hapa ni “The Praised One” na kwa maana hii ndiyo inalingana na maana ya Muhammad Ya Lugha ya Kiarabu. Kwa hiyo Mtume Mohamed amebashiriwa na Nabii Isa katika Agano Jipya na Pia Nabii Musa katika Agano La Kale.

2-Prophet Muhammad (pbuh) mentioned by name in In the Song of Solomon, chapter 5 verse 16:

We read in Hebrew: “Hikko Mamittakim we kullo Muhammadim Zehdoodeh wa Zehraee Bayna Jerusalem.”
Translated In English as:
[His mouth is most sweet: yea, he is altogether lovely. This is my beloved, and this is my friend, O daughters of Jerusalem.] (Song of Solomon 5:16)
In the Hebrew language “im” is added for respect. Similarly im is added after the name of Prophet Muhammad(pbuh) to make it Muhammadim. In English translation they have even translated the name of Prophet Muhammad(pbuh) as “altogether lovely”, but in the Old Testament in Hebrew,the name of Prophet Muhammad (pbuh) is yet present.
The correct Translation would be:
[His mouth is most sweet: yea, he is the praised one (Mohamed comes from Arabic Word “HAMD” in Arabic means Praise and Mohamed means “Praised One”. This is my beloved, and this is my friend, O daughters of Jerusalem.]
Thus “The Praised One” means Muhammad In Arabic Language and this Verse is a Prophecy on the coming Of Prophet Mohamed

1-Mohamed Is Prophesised in the Book of Deuteronomy chapter 18 verse 18

2-Mtume Alibashiriwa katika Kumbukumbu Mlango Wa 18 Verse Namba 18

1-Almighty God speaks to Moses in Book of Deuteronomy chapter 18 verse 18:

2-Mwenyeezi Mungu Anamzungumza Nabii Musa Katika Kitabu Cha Kumbukumbu, Mlango Namba 18 Na Verse Namba 18

1-“I will raise them up a Prophet from among their brethren, like unto thee, and I will put my words in his mouth; and he shall speak unto them all that I shall command him.”

2-“Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zao; nitaweka maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia kila kitu nitakachomwamuru”.

1-The Christians say that this prophecy refers to Jesus (pbuh) because Jesus (pbuh) was like Moses (pbuh). Moses (pbuh) was a Jew, as well as Jesus (pbuh) was a Jew. Moses (pbuh) was a Prophet and Jesus (pbuh) was also a Prophet.

2-Wakristo wanasema kwamba utabiri huu unamwashiria Nabii Isa (Amani Za Mola Zimfikie Yeye) kwani Nabii Isa ndiye anayefanana na Nabii Musa kwani wote ni Mayahudi na wote wawili walikuwa Manabii.

1-If these two are the only criteria for this prophecy to be fulfilled, then all the Prophets of the Bible who came after Moses (pbuh) such as Solomon, Isaiah, Ezekiel, Daniel, Hosea, Joel, Malachi, John the Baptist, etc. (pbut) will fulfill this prophecy since all were Jews as well as prophets.

2-Kama Vigezo hivi viwili vingelikuwa ndivyo viwili tu vinavyothibitisha Utabiri huu, basi Manabii wote waliokuja baada ya Nabii Musa kama vile Solomon, Isaiah, Ezekiel, Daniel, Hosea, Joel, Malachi, John Mbatizaji (Babtist) (Amani Za Mola Zimfikie) wangehesabiwa katika utabiri huu. kwani wote walikuwa Mayahudi na Pia Mitume.

1-However, it is Prophet Muhammad (pbuh) who is like Moses (pbuh):

2-Kwa hiyo Hakuna Mwingine Aliyebashiriwa hapa isipokuwa Nabii Mohamed (Salaam na Sala Za Mwenyeezi Mungu Zimfikie) peke yake kwani ndiye anayefanana na Nabii Musa.

1-(i)Both had a father and a mother, while Jesus (pbuh) was born miraculously without any male intervention.[Mathew 1:18 and Luke 1:35 and also Al-Qur’an 3:42-47]

2-Wote wawili Nabii Mohamed na Nabii Musa walikuwa na baba na mama lakini Nabii Isa alizaliwa kimuujiza bila ya baba. .[Mathew 1:18 and Luke 1:35 and also Al-Qur’an 3:42-47]
(ii) Both were married and had children. Jesus (pbuh) according to the Bible did not marry nor had children.

1-Wote Nabii Musa Na Nabii Mohamed walikuwa wameoa na pia walikuwa na watoto na Nabii Isa (Amani Za mola zimfikie) kufuatana na Biblia alikuwa hakuoa.

2-(iii)Both died natural deaths. Jesus (pbuh) has been raised up alive. (4:157-158)
Wote Wawili Walifariki vifo vya kawaida, lakini Nabii Isa alipazwa Mzima Al-Qur’an(4:157-158)

1-Muhammad (pbuh) is from among the brethren of Moses (pbuh). Arabs are brethren of Jews. Abraham (pbuh) had two sons: Ishmail and Isaac (pbut). The Arabs are the descendants of Ishmail (pbuh) and the Jews are the descendants of Isaac (pbuh).

2-Mtume Mohamed (Amani Na Sala Za Mola Zimfikie) ametokana na Ndugu za Nabii Musa (Amani Za Mola Zimfikie). Waarabu Ni ndugu za Mayahudi. Nabii Ibrahim (Amani za Mola Zimfikie) alikuwa na watoto wawili Ishmael na Isaac (Amani za Mola Ziwafikie). Warabu wametokana na Ukoo wa Ishmail (Amani Za Mola Zimfikie) na Mayahudi wanatokana na ukoo wa Isaac (Amani za Mola Zimfikie).

1-Words in the mouth:
Prophet Muhammad (pbuh) was unlettered and whatever revelations he received from Almighty God he repeated them verbatim.

“I will raise them up a Prophet from among their brethren, like unto thee, and will put my words in his mouth; and he shall speak unto them all that I shall command him.”[Deuteronomy 18:18]
(iv)Both besides being Prophets were also kings i.e. they could inflict capital punishment. Jesus (pbuh) said, “My kingdom is not of this world.” (John 18:36).

(v)Both were accepted as Prophets by their people in their lifetime but Jesus (pbuh) was rejected by his
people. John chapter 1 verse 11 states, “He came unto his own, but his own received him not.”

(iv)Both brought new laws and new regulations for their people. Jesus (pbuh) according to the Bible did not bring any new laws. (Mathew 5:17-18).

2-Maneno katika Mdomo:

Mtume Mohamed (Amani na Sala zake Mola Zimfikie) alikuwa hajui kuandika wala kusoma na kila alichoshishiwa kutoka kwa Mwenyeezi Mungu kilikuwa kwa njia ya kusikiliza neno kwa neno.

“Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zao; nitaweka maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia kila kitu nitakachomwamuru”. [Deuteronomy 18:18].

Wote Wawili (Nabii Musa na Nabii Mohamed) Amani Na Sala Zake Mola Ziwafikie) walikuwa pia kama Wafalme kwani walikuwa na uwezo wa kupitisha amri kubwa kama vile kuwaadhibisha wahalifu. Nabii Isa (Amani Zake Mola Zimfikie) anasema “Yesu akajibu, “Ufalme wangu sio wa ulimwengu huu. Kama ungekuwa hivyo, watumishi wangu wangenipigania ili nisikabidhiwe kwa viongozi wa Wayahudi. Hapana, ufalme wangu sio wa kidunia.”(John 18:36).

Wote wawili (Nabii Musa na Nabii Mohamed) walikuwa Mitume waliokubalika na watu wao lakini Nabii Isa (Amani Zake Mola Zimfikie) watu wake walimkataa kama Biblia katika Yohana Mlango wa kwanza Verse Namba 11 inasema ” 11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea

Wote wawili (Nabii Musa na Nabii Mohamed) Walileta Sheria Na Kanuni kwa watu wao. Lakini Nabii Isa hakuleta Sheria wala Kanuni Yeyote.

1-Great Scientists Prove The Truth That Quran is One of The Great Miracles and Prophet Mohamed is The True Messenger. So Should we Listen to These Intelligent People or Follow Uneducated People? We should all Wake Up, Learn and Follow The Teachings before It’s too Late. O My fellow Human Beings Life Is Very Short and How are we going to Face The Creator after all these Proofs?

2-Wanaayansi Wakubwa kama hawa Wanathibitisha kwamba Kuruani Ni Miongoni mwa Miujiza Mikubwa sana and Kwamba Mtume Mohamed Ni Mtume wa Kweli. Kwa hiyo Tuwasikilize hwa wataalamu wenye akili au tuwasikilize wasiokuwa na elimu yeyote? Tuamke Wote, Tisome na Kufuata Mafundisho kabla wakati haujapita. Enyi Binaadamu Wenzangu Maisha Ni Mafupi sana na Kwa Vipi tutakutana Na Muumbaji baada ya dalili zote hizi.?

O My Fellow Human Being Allah Says In The Quran

Chapter (22) sūrat l-ḥaj (The Pilgrimage) Ayaat Number 1-4

Sura namba 22 Ya Al-Hajj Kutoka Aya Namba 1 Mpaka 4

يَـٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ ٱتَّقُواْ رَبَّڪُمۡ‌ۚ إِنَّ زَلۡزَلَةَ ٱلسَّاعَةِ شَىۡءٌ عَظِيمٌ۬ (١) يَوۡمَ تَرَوۡنَهَا تَذۡهَلُ ڪُلُّ مُرۡضِعَةٍ عَمَّآ أَرۡضَعَتۡ وَتَضَعُ ڪُلُّ ذَاتِ حَمۡلٍ حَمۡلَهَا وَتَرَى ٱلنَّاسَ سُكَـٰرَىٰ وَمَا هُم بِسُكَـٰرَىٰ وَلَـٰكِنَّ عَذَابَ ٱللَّهِ شَدِيدٌ۬ (٢) وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يُجَـٰدِلُ فِى ٱللَّهِ بِغَيۡرِ عِلۡمٍ۬ وَيَتَّبِعُ ڪُلَّ شَيۡطَـٰنٍ۬ مَّرِيدٍ۬ (٣) كُتِبَ عَلَيۡهِ أَنَّهُ ۥ مَن تَوَلَّاهُ فَأَنَّهُ ۥ يُضِلُّهُ ۥ وَيَہۡدِيهِ إِلَىٰ عَذَابِ ٱلسَّعِيرِ (٤)

Translation In English:

1-O mankind, fear your Lord. Indeed, the convulsion of the [final] Hour is a terrible thing.

2-On the Day you see it every nursing mother will be distracted from that [child] she was nursing, and every pregnant woman will abort her pregnancy, and you will see the people [appearing] intoxicated while they are not intoxicated; but the punishment of Allah is severe.

3-And of the people is he who disputes about Allah without knowledge and follows every rebellious devil.

 4-It has been decreed for every devil that whoever turns to him – he will misguide him and will lead him to the punishment of the Blaze.

Translation In Swahili:

1. Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi. Hakika tetemeko la Saa (ya Kiyama) ni jambo kuu.

2-Siku mtapo iona, kila mwenye kunyonyesha atamsahau amnyonyeshaye, na kila mwenye mimba ataharibu mimba yake. Na utaona watu wamelewa, na kumbe hawakulewa. Lakini adhabu ya Mwenyezi Mungu ni kali.

3. Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet’ani aliye asi. 

4. Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali