SCIENTIFIC AND ISLAMIC RESEARCHES

Ramadhan-2023

UTAFITI MBALIMBALI  KATIKA DINI NA SAYANSI

IMEANDALIWA NA  AL-AMIN ALI HAMAD

MWEZI WA RAMADHANI MWAKA  2023

BismilahiArrahman Arrahiim.

Alhamdulilah,Namshukuru Mwenyeezi Mungu Mtukufu kutupa uhai na afya ya kuweza kuandika haya machache kuhusu utukufu wake. 

Namuomba Mwenyeezi Mungu ajaalie Mwezi wa Ramadhani utukute tupo hai na Uzimana pia atuwezeshe Kuufunga bila ya Matatizo.

Leoni Tarehe 26/February/2023 ikiwa sawa na Tarehe ya Kiislamu Tarehe 06/Shaaban/1444.  Siku zilizobaki ni  24 tu na itakuwa Ramadhan imefika na siku ya mwisho yaani usiku wa tarehe 22 March  mwezi mpya ukionekana tu basi Mwenyeezi Mungu akipenda Ramadhani itakuwa tarehe 23/March/2024  ambayo ni sawa na tarehe 01/Ramadhan/1444. Sasa  ni masiku tu yaliyobaki na siyo Miezi!!!. 

Kwa Munasaba wa Mwezi Huu nimeona bora nifungue Mlango huu mpya wa “Ramadhani-2023” ambao  Mwenyeezi Mungu akipenda nitakuwa nikidokeza Mada za Sayansi  na Nyinginezo  iwapo kutakuwa hakuna tatizo litakalochukua wakati wangu, Hii ndiyo nia yangu.

26/February/2023

Kwa hiyo leo Tarehe  26/February/2023  Nitaanza kudokeza Mada ya Kwanza ya Maajabu ya kuruani Tukufu.

LONGITUDE AND LATITUDE (LONGITUDO NA LATITUDO)

Tunatumia mistari ya latitudo ili kujua mahali palipo mbali kaskazini au kusini. Mistari hii inaenda sambamba na Ikweta naTunatumia mistari yalongitudo ili kujua mahali palipo mbali mashariki au magharibi.Mistari hii huanzia juu ya Dunia hadi chini.

(We use imaginary lines to help locate where a place is in the world.
We use lines of latitude to find out how far north or south a place is.These lines run parallel to the Equator.
There are five major lines of latitude:
The Arctic Circle (the North Pole)
TheAntarctic Circle (the South Pole)
The Tropic of Cancer
TheTropic of Capricorn
and the Equator.
We use lines of longitude to find out how far east or west a place is. These lines run from the top of the Earth to the bottom).

MAAJABU KATIKA KURUANI KUHUSIANA NA VIPIMO HIVI

kuna Utafiti mbalimbali umefanywa ambao kila mojawapo ilinishangaza sana.Leo hii nitadokeza kidogo tu. Kama nilivyozungumzia katika Milango Mingineyo ya Website hii kwamba Kuruani ilivyoshushwa hapo mwanzoni Sura na Aya  zilikuwa hazina Namba na Pia Alama  za Matamshi kama vile Fathah, Kasrah, au Sukun. Vyote hivi ni nyongeza ya baada ya Wahyi.  Iliongezwa wa wanavyuoni wa hapo awali  ili kuwasaidia Wasomaji wa Kuruani. Kwa hiyo Namba za Sura na  Aya zilikuwa hazipo hapo mwanzo. Muujiza Mkubwa ni kwamba Nyongeza yeyote kama hii ilikuwa siyo hovyo hovyo na kwa kweli ilikuwa chini ya Uangalizi wa Mwenyeezi Mungu Mtukufu.

Muujiza wa leo utathibitisha haya niliyoyasema hapa.

Hebu tuchunguze Aya Mbili za Kuruani na kisha tuone Maajabu.

SuraYa Bakarah Namba 2 Aya Namba 125

وَإِذۡجَعَلۡنَا ٱلۡبَيۡتَ مَثَابَةً۬ لِّلنَّاسِوَأَمۡنً۬ا وَٱتَّخِذُواْ مِن مَّقَامِإِبۡرَٲهِـۧمَ مُصَلًّ۬ى‌ۖ وَعَهِدۡنَآإِلَىٰٓ إِبۡرَٲهِـۧمَ وَإِسۡمَـٰعِيلَأَن طَهِّرَا بَيۡتِىَ لِلطَّآٮِٕفِينَوَٱلۡعَـٰكِفِينَ وَٱلرُّڪَّعِ ٱلسُّجُودِ

(١٢٥)

TAFSIRI

125.Na(kumbukeni khabari hii pia:) Tulipoifanya nyumba (ya Al- Kaaba) iwe mahali pa kuendewa na watu na mahali pa salama. Na mahali alipokuwa akisimama (Nabii) lbrahimu pafanyeni pawe pa kusalia. Na tulimwusia lbrahimu na Ismaili(tukawaambia): “ltakaseni (isafisheni) nyumba yangu kwa ajili ya wale wanaoizunguka kwa ajili ya kutufu na wanaokaa hapo na (kwa ajili ya)wanaorukuu na kusujudu hapo pia.

SuraYa Bakarah Namba 2 Aya Namba 142

۞سَيَقُولُ ٱلسُّفَهَآءُ مِنَ ٱلنَّاسِمَا وَلَّٮٰهُمۡ عَن قِبۡلَتِہِمُ ٱلَّتِىكَانُواْ عَلَيۡهَا‌ۚ قُل لِّلَّهِٱلۡمَشۡرِقُ وَٱلۡمَغۡرِبُ‌ۚ يَہۡدِىمَن يَشَآءُ إِلَىٰ صِرَٲطٍ۬ مُّسۡتَقِيمٍ۬(١٤٢)

TAFSIRI

Karibuni wapumbavu miongoni mwa watu watasema: “Nini kilichowageuzakutoka kibla chao walichokuwa wakikielekea?” Sema: (uwaambie)”Mashariki na Magharibi ni ya Mwenyezi Mungu; humwongoza amtakae katika njia iliyonyooka.

Hebu Tuchunguze Aya  Hizi Mbili na Mada ya Longitude na Latitude. Aya zote mbili zipo katika Sura Ya Bakarah.  Aya Ya Kwanza ni Ya 125 na Ya Pili ni ya 142

Kwa maandishi ya Kihesabu tunaweza kuandika kama ifuatavyo:

SuraNamba  2  Aya Namba 125   ni sawa na  2.125

naSura Namba 2 Aya Namba 142 ni sawa na 2.142

Ukienda katika  Google  Map  au Program yeyote ile katika Mtandao na Ukapachika Namba  hizi Mbili basi zitakupeleka Katika Kaaba ya Mecca.

Je unaona Maajabu?  Yaani  Namba hizi katika kuruani zilionegezwa baada ya Wahyi au Revelation zilikuwa katika Maongozo yaMwenyeezi Mungu pia na siyo bure bure tu. 

Namba ya Aya Hizi Mbili;

2.125 na 2.142  ukizitumia kama  Latitude katika Ramani ya Dunia utashangaa sana kwani zitakupeleka katika Kaaba Ya Mecca.  Namba hizi zinajulikana kama “Map Coordinates”

Kuna Njia Mbili ya Kutafuta sehemu au Location katika Ramani ya dunia:

21°.25′.21″ = Njia hii ni kwa kutumia Degrees, Kisha Dakika na Kisha Sekunde

21°.4225°=Njia hiini kwa kutumia Degrees peke yake.

Wanasayans iDuniani wanatumia Njia hizi mbili katika kutafuta Sehemu au Location katika Ramani.

Jambo la Kushangaza ni Kwamba Namba Hizi mbili  zinalingana na Namba za Aya Mbili katika Kuruani nazo ni

2:125  (Sura Namba Mbili Aya namba 125)

2:142(Sura Namba Mbili Aya Namba 142)

Ukipachika Namba hizi mbili katika Program za Ramani ya Dunia basi Itakupeleka Moja kwa moja katika  KAABA YA MECCA. Au ukitafuta Jina la Mecca katika Ramani za Latitudo na Longitudo itakupeleka katika latitudes zinazokaribiana na Namba za Aya na Sura hizi mbili.

Jeunaona Maajabu.

Huu siyo Muujiza Mdogo  hata kidogo. Mtume alijua Vipi Elimu hizi za kisasa.  Na Tena wakati huo kulikuwa hakuna Namba. Kama tulivyosema hapo mwanzoni Kuruani ilikuwa haina Namba, Yaani Aya N aSura zilikuwa hazina Namba.

Je unaona Ushahidi?  kwamba Kuruani haina upuzi?  Haya siyo maneno ya Mtume bali ni yake Mwenyeezi Mungu aliyeumba kila kitu. Allahu Akbar. Hapa Chini Ninawaletea Picha Ya Program Na Namba Hizi na Pia Picha ya Longitude na Latitude.  Allahu Akbar. Ndugu zanguni Ramadhani inakuja Na Tujiandae kwa vizuri.

09/April/2023

MUUJIZA WA KWANZA

MUUJIZA WA IDADI ZA HERUFI

MUASHIRIO WA MWEZI WA DHULHIJJA NA KATIKA AYA NAMBA 2 SURA YA KAWTHAR

فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَانْحَرْ

Mwenyeezi Mungu katika Aya hii anamuambia Mtume ﷺ

“Basi sali kwa ajili ya Mola wako na uchinje (kwa ajili ya Mola wako). (Na kila utakalolifanyalifanye kwa ajili ya Mola wako, siyo mizimu wala mapango wala makaburi)”

Hii ni Aya ya pekee ambayo inazungumzia Machinjo yanayofanyika katika Mwezi wa Hijja na Unajulikana katika Uislamu kama ni  DHULHIJJA ambao ni Mwezi wa 12 wa Kiislamu. Jambo la kushangaza ni kwamba Aya hii ambayo ni ya pekee katika Kuruani Tukufu lina jumla za  Herufi  12 Pia!!!!  Angalia Mpangilio wa Kiajabu.  Herufi Zinaashiria Mwezi Wa Machinjo  yanayofanyika Huko Mecca  Kila Mwaka.  Hata Herufi zinashuhudia. Kuruani yote ni Muujiza na Hakuna Upuzi wowote. Allahu Akbar

MUUJIZA WA PILI

UMBALI BAINA YA JUA NA ARDHI

MAAJABU YA SURA YA AL-SHAMS-UMBALI BAINA YA JUA NA ARDHI UMEASHIRIWA KATIKA KURUANI TUKUFU KIAJABU SANA

Sura hii Ina Maajabu Mengi. Alhamdulilahi leo Tarehe 09/04/23 Nitadokeza Ajabu Moja Tu katika maajabu yasiyo na Mwisho.

Hebu  Tuchunguze Muujiza Mmoja Tu katika Aya Za Sura Hii Inayojulikana Kama Al-Shams na neno Hili lina mana ya  “JUA”

سُوۡرَةُ الشّمس
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلشَّمۡسِ وَضُحَٮٰهَا (١)وَٱلۡقَمَرِ إِذَا تَلَٮٰهَا (٢)وَٱلنَّہَارِ إِذَا جَلَّٮٰهَا (٣)وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَٮٰهَا (٤)وَٱلسَّمَآءِ وَمَا بَنَٮٰهَا (٥)وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا طَحَٮٰهَا (٦)وَنَفۡسٍ۬ وَمَا سَوَّٮٰهَا (٧)فَأَلۡهَمَهَا فُجُورَهَا وَتَقۡوَٮٰهَا (٨)قَدۡ أَفۡلَحَ مَن زَكَّٮٰهَا (٩)وَقَدۡ خَابَ مَن دَسَّٮٰهَا (١٠)كَذَّبَتۡ ثَمُودُ بِطَغۡوَٮٰهَآ (١١)إِذِ ٱنۢبَعَثَ أَشۡقَٮٰهَا (١٢)فَقَالَ لَهُمۡ رَسُولُ ٱللَّهِ نَاقَةَ ٱللَّهِ وَسُقۡيَـٰهَا (١٣)فَكَذَّبُوهُ فَعَقَرُوهَا فَدَمۡدَمَ عَلَيۡهِمۡ رَبُّهُم بِذَنۢبِهِمۡ فَسَوَّٮٰهَا (١٤)وَلَا يَخَافُ عُقۡبَـٰهَا (١٥)

Sura hii ni Ya 91 

Aya Ya Kwanza Inazungumzia Jua na Aya Ya Sita Inazumgumzia  Ardhi. Hebu tufasiri Aya Hizi Mbili.

وَٱلشَّمۡسِ وَضُحَٮٰهَا (١)

1. Naapa kwa jua na kwa muangaza wake

وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا طَحَٮٰهَا (٦)

6. Na kwa ardhi na kwa Aliyeitandaza

Katika Sura Hii Aya Ya Kwanza Inazungumzia Jua Na Aya Ya Pili inazumgumzia  Ardhi.

Hebu tuchunguze zaidi  Mpangilio wa Aya Hizi Mbili. Aya Ya kwanza inazungumzia  Jua na Aya Ya Sita Inazungumzia  Ardhi.   Yaani Kwa kifupi  

Aya Ya Kwanza ni  Jua na Aya Ya Sita Ni Ardhi  na baina ya Aya  Hizi mbili kuna Aya  Nne

Yaani Baina Ya Jua Na Ardhi kuna Aya Nne.

Hebu tuchunguze zaidi.

Hii Sura ya Al-Shams “Jua” Ni Ya  91   Na  Aya 4   zipo Baina Ya Jua Na Ardhi.

Kwa kihesabu tunaweza Kuandika Kama ifuatavyo:

91.4

Yaani Sura Namba 91 ni JUA  na Aya zinazozungumzia Jua na Ardhi zimetenganishwa na Aya 4

Kwa Lugha Ya Kihesabu tunaweza kusema  91  ni  Whole Number au Integer

Na   4  ni  Decimal Number (Baada ya Dot  au Nuqta namba inayofuatia ni Decimal Number)

Kwa hiyo Namba ya Sura ni Whole Number na Namba Za Aya Ni Decimal Numbers

sasa  tuchungize zaidi.

ni nini  hii namba 91.4 ???

Basi  utashagaa sana tena sana tena sana  nikikuambia kwamba Umbali baina Ya Jua Na Ardhi ni  Maili  Milioni  91.4   (91.4 Million Miles)  Kama huamini  nenda katika chombo cha utafiti  Google kisha uchunguza mwenyewe ujionee kwa macho yako.  

Yaani Kuruani inatupa Umbali baina ya Jua na Ardhi.  Unaona Muujiza wa Kuruani. Yaani  Vipimo  vya Maili na Vinginevyo havikuwapo wakati huo wa Mtume Mohamad.ﷺ

Hivi ni vipimo vya hivi karibuni. Sasa Mbona Kuruani imeashiria mambo yote haya?  Huoni maajabu. Allahu Akbar  Huu siyo muujiza mdogo hata kidogo na ukiwa huamini basi shauri lako mwenyewe. Usisahau kwamba Namba hizi za Sura Na Aya Na Alama za matamshi ziliongezwa baadaye ili kuwasadia wasomaji na Ajabu ni kwamba Hata Mtume ﷺ

mwenyewe hakujua siri hizi. Yaani Maajabu haya tumewekewa sisi watu wa leo yaani wa siku za sayansi na teknologia.  Kwani tumezungukwa na Elimu hizi kwa wingi sana na Mwenyeezi Mungu aliyajua haya na Akatuwekea Maajabu Mbalimbali ili tusipotee au tusidanganyike na Mazingara ya Kileo.  Allahu Akbar.

Angalia Hapa Chini  Ushahidi kutoka Katika Mtandao kwa kutumia chombo cha Utafiti  Google.

(In early January, Earth reaches its closest position to the star. Astronomers call this point perihelion, and at this time Earth is about 91.4 million miles(147.1 million km) away from the sun, according to NASA)

Inaendelea……….Mada Mpya hivi karibuni 

Inshaallah…………………

Inaendelea……….Mada Mpya hivi karibuni  Inshaallah……………….