UTAFITI MBALIMBALI KATIKA DINI NA SAYANSI
IMEANDALIWA NA AL-AMIN ALI HAMAD
MIONGONI MWA MIUJIZA MIKUBWA YA KURUANI TUKUFU
MALE REPRODUCTIVE SYSTEM
UPUNGUFU WA ELIMU ZETU UMESABABISHA KUTATANISHA TAFSIRI YA AYA ZA KURUANI ZINAYOHUSIANA NA ASILI YA MBEGU YA UZAZI (MANII) NA BAADA YA UGUNDUZI WA KISAYANSI HIVI KARIBUNI UTATANISHI HUU UNAONDOKA NA MUUJIZA MKUBWA WA KURUANI UNASIMAMA PALE PALE KAMA ILIVYOKUSUDIWA NA MUUMBA WA KILA KITU , KURUANI INASIMAMA JUU NA SAFI KAMA ALIVYOSEMA MWENYEEZI MUNGU KATIKA AYA NAMBA MBILI YA SURA YA AL-BAKARAH KWAMBA
ذَٲلِكَ ٱلۡڪِتَـٰبُ لَا رَيۡبَۛ فِيهِۛ هُدً۬ى لِّلۡمُتَّقِينَ (٢)
“KITABU KILE HAKINA SHAKA YEYOTE NA NI UONGOFU KWA WACHA MUNGU”
(ELIMU YA BALAGHA INATUFUNDISHA KWAMBA KUNA TOFAUTI BAINA YA NENO “HIKI” NA “KILE”. NENO “KILE” LINAONYESHA UMBALI WA MANZILA AU DARAJA NA UTUKUFU WA KURUANI TUKUFU NA PIA HUENDA NI SEHEMU (AREA) AMBAYO KURUANI TUKUFU ILIKUWA IMEANDIKWA NA KUHUFADHIWA KATIKA Al-Lawh Al-Mahfooz(The Preserved Tablet) ILIYOPO SEHEMU YA HUKO MBINGUNI AMBAYO HATUIJUI YAANI KABLA YA KUSHUSHWA/ WAHYI (REVELATION) NA JIBRIL HAPA DUNIANI KATIKA KIFUA CHA MTUME MOHAMAD ﷺ )
ALAHU AKBAR!!!
Baada ya mabishano marefu kuhusu Asili ya Manii (Sperms) kutoka katika Mwili wa Kiume wa Binaadamu nimeona bora niweke Mlango peke yake katika Website hii ili tupate kuona ukweli wa Kuruani Tukufu. Kama Nilivyoelezea katika milango mingine ya Website hii kwamba Kuruani ni Muujiza mkubwa usio na Mfano.
Leo kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu nitawaletea Utafiti ambao unathibitisha Ukweli huu. Na pia Nitawaletea hapa chini mfano mmoja wa Video miongoni mwa Video mbalimbali zenye kupinga Ukweli huu.
Hatua za Sherehe itakuwa kama ifuatavyo:
1/Kwanza Nimeona bora nielezee Sayansi inayohusiana na Elimu hii.
2/Kisha Aya za Kuruani zinazohusu Habari hii ya Reproduction Systems (Male)
3/Na Mwishoni nitawalezea Utafiti Mpya wa hivi karibuni uliofanywa ambao unathibitisha Sayansi iliyopo katika Kuruani Tukufu. Allahu Akbar.
SAYANSI ZINAVYOSEMA KUHUSU SPERM PRODUCTION
Sayansi inatufundisha kwamba Sperms (Manii) yanaundika katika kiungo cha mwili wa Binaadamu kinachojulikana kama Korodani, au Koko au Pumbu. Na hapo ndipo Germ Cells (Celi za Germs) zinapogawanyika na Kukua kwa Msaada wa Hormone inayojulikana kama Testosterone. Baada ya Kukua Zinaitwa Jina la Sperms na hizi zinachanganyikana na Seminal Fluid ambazo zinatoka katika seminal vesicles na prostate gland, Baada ya Hapo maji maji haya yanageuka na kuwa Semen ambayo ndiyo inayoitwa kwa kiswahili Manii. Na hii ndiyo inayotoka na kusafiri kuingia katika Tumbo la Uzazi wa Mwanamke.
Vitabu vya Mashuleni na hata katika Mtandao tunasoma habari hii.
Nimenukulu hapa chini Sayansi inavyosema.
A man’s reproductive system is specifically designed to produce, store, and transport sperm. Unlike the female genitalia, the male reproductive organs are on both the interior and the exterior of the pelvic cavity. They include:
-The testes (testicles)
-The duct system: epididymis and vas deferens (sperm duct)
-The accessory glands: seminal vesicles and prostate gland
-The penis
There is a system of tiny tubes in the testicles. These tubes, called the seminiferous tubules, house the germ cells that hormones — including testosterone, the male sex hormone — cause to turn into sperm. The germ cells divide and change until they resemble tadpoles with a head and short tail. The tails push the sperm into a tube behind the testes called the epididymis. For about five weeks, the sperm travel through the epididymis, completing their development. Once out of the epididymis, the sperm move to the vas deferens. When a man is stimulated for sexual activity, the sperm are mixed with seminal fluid — a whitish liquid produced by the seminal vesicles and the prostate gland — to form semen. As a result of the stimulation, the semen, which contains up to 500 million sperm, is pushed out of the penis (ejaculated) through the urethra.
AYA ZA KURUANI NA SAYANSI
Sura Ya Atwariki Namba 86 Aya Namba 5 Mpaka 7
فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَـٰنُ مِمَّ خُلِقَ (٥) خُلِقَ مِن مَّآءٍ۬ دَافِقٍ۬ (٦) يَخۡرُجُ مِنۢ بَيۡنِ ٱلصُّلۡبِ وَٱلتَّرَآٮِٕبِ (٧)
TAFSIRI
5.Hebu naajitazame mtu, ameumbwa kwa kitu gani
6.Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa Nguvu (Yanayokwenda kwa kasi au Nguvu)
7.Yatokayo katikati baina ya mifupa ya mgongo na kifua (Mbavu).
SHEREHE YA TAFSIRI
Wengi ambao wamesoma Sayansi za Mashuleni wamebabaika kwani Sayansi inasema kwamba asili ya Manii ni Kutoka katika Korodani (Pumbu) na kwa hiyo wanababaika wanaposoma Kuruani ambayo inasema kwamba Manii yanatoka baina ya katikati ya mifupa ya mgongo na kifua (Mbavu). Na pia kuna wale ambao wasikuwa Waislamu ndiyo wanapata njia ya kuupinga Uislamu kwa kutoa dalili au mfano kama huu ili kupotosha wengineo. Hapa chini nitawaletea Video za baina ya wale wenye Fikra kama hizi. Kwa hiyo imepita Miaka na Miaka na Makafiri na pia Wasijua Elimu wamebabaika na Kubabaisha wengineo kwa kunukulu Aya hizi za Kuruani na Pia kuna Aya Nyinginezo ambazo ni mfano kama huu.
SHEREHE BAADA YA UTAFITI
Hivi Karibuni Watafiti katika Chuo kikuu cha Columbia wamegundua kwamba Hormone ambayo osteocalcin inatoka katika Mifupa ndiyo inayosababisha Hormone Inayojulikana kama Testosterone kufanya kazi na hii ndiyo inayosababisha kuzaliwa kwa Vifaa vinginevyo ambavyo vinahitajika katika Kuwepo kwa Manii. Soma Habari kwa Urefu (Kwa Lugha ya Kiingereza) kutoka katika Sciene News. (Columbia University Medical Center). Kama tunavyosoma hapa chini kwamba Watafiti wakafanya Majaribio mbalimbali ambayo yalionyesha kwamba osteocalcin ndiyo inasababisha kuunda kwa testosterone. Sasa tunafahamu kwamba Kama kungekuwa hakuna Hormone ya osteocalcin basi kusingekuwako kwa testosterone na kama kusingekuwako kwa testosterone basi kusingekuwako kwa Manii yaani Sperms.

Researchers at Columbia University Medical Center have discovered that the skeleton acts as a regulator of fertility in male mice through a hormone released by bone, known as osteocalcin. The research, led by Gerard Karsenty, M.D., Ph.D., chair of the Department of Genetics and Development at Columbia University Medical Center, is slated to appear online on February 17 in Cell, ahead of the journal’s print edition, scheduled for March 4. Until now, interactions between bone and the reproductive system have focused only on the influence of gonads on the build-up of bone mass. “Since communication between two organs in the body is rarely one-way, the fact that the gonads regulate bone really begs the question: Does bone regulate the gonads?” said Dr. Karsenty. Dr. Karsenty and his team found their first clue to an answer in the reproductive success of their lab mice. Previously, the researchers had observed that males whose skeletons did not secrete a hormone called osteocalcin were poor breeders. The investigators then did several experiments that show that osteocalcin enhances the production of testosterone, a sex steroid hormone controlling male fertility. As they added osteocalcin to cells that, when in our body produce testosterone, its synthesis increased. Similarly, when they injected osteocalcin into male mice, circulating levels of testosterone also went up. Conversely, when osteocalcin is not present, testosterone levels drop, which causes a decline in sperm count, the researchers found. When osteocalcin-deficient male mice were bred with normal female mice, the pairs only produced half the number of litters as did pairs with normal males, along with a decrease in the number of pups per litter. Though the findings have not yet been confirmed in humans, Dr. Karsenty expects to find similar characteristics in humans, based on other similarities between mouse and human hormones. If osteocalcin also promotes testosterone production in men, low osteocalcin levels may be the reason why some infertile men have unexplained low levels of testosterone. Skeleton Regulates Male Fertility, But Not Female Remarkably, although the new findings stemmed from an observation about estrogen and bone mass, the researchers could not find any evidence that the skeleton influences female reproduction. Estrogen is considered one of the most powerful hormones that control bone; when ovaries stop producing estrogen in women after menopause, bone mass rapidly declines and can lead to osteoporosis. Sex hormones, namely estrogen in women and testosterone in men, have been known to affect skeletal growth, but until now, studies of the interaction between bone and the reproductive system have focused only on how sex hormones affect the skeleton. “We do not know why the skeleton regulates male fertility, and not female. However, if you want to propagate the species, it’s probably easier to do this by facilitating the reproductive ability of males,” said Dr. Karsenty. “This is the only rationale I can think of to explain why osteocalcin regulates reproduction in male and not in female mice.” Other Novel Functions of Osteocalcin Reported Earlier The unexpected connection between the skeleton and male fertility is one of a string of surprising findings in the past few years regarding the skeleton. In previous papers, Dr. Karsenty has found that osteocalcin helps control insulin secretion, glucose metabolism and body weight. “What this work shows is that we know so little physiology, that by asking apparently naïve questions, we can make important discoveries,” Dr. Karsenty says. “It also shows that bone exerts an important array of functions all affected during the aging process. As such, these findings suggest that bone is not just a victim of the aging process, but that it may be an active determinant of aging as well.” Next Steps and Potential Drug Development Next, the researchers plan to determine the signaling pathways used by osteocalcin to enhance testosterone production. And as for potential drug development, since the researchers have also identified a receptor of osteocalcin, more flexibility in designing a drug that mimics the effect of osteocalcin is expected. Whether it’s for glucose metabolism or fertility, says Dr. Karsenty, knowing the receptor will make it easier for chemists to develop a compound that will bind to it. “This study expands the physiological repertoire of osteocalcin, and provides the first evidence that the skeleton is a regulator of reproduction,” said Dr. Karsenty. Authors of the Cell study are: Franck Oury, Ph.D. (CUMC); Grzegorz Sumara, Ph.D. (CUMC); Olga Sumara, Ph.D. (CUMC); Mathieu Ferron, Ph.D. (CUMC); Haixin Chang, Ph.D. (Cornell University); Charles E. Smith, Ph.D. (McGill University); Louis Hermo, Ph.D. (McGill University); Susan Suarez, Ph.D. (Cornell University); Bryan L Roth, Ph.D.(UNC-Chapel Hill); Patricia Ducy, Ph.D. (CUMC); and Gerard Karsenty, M.D., Ph.D. (CUMC). This study was supported in part by the National Institute of Child Health Research (NICHR) and the National Institutes of Health (NIH).
Angalia Maajabu Ya Kuruani. Aya zinasema kwamba Manii yanatoka baina ya Mbavu na uti wa Mgongo. Na Sayansi hapa inathibitisha. Osteocalcine inasababisha kuzaliwa kwa Testosterone na Testosterone ndiyo inayozalisha Seminal Liquide na Pia Spermatozoide na Mchanganyiko wote huu ndiyo unaoitwa Manii. Allahu Akbar. Utafiti huu ni wa karibuni. Vitabu vya Mashuleni bado vina habari za zamani na kwa hiyo miaka ijayo vitabidi virekebishwe. Lakini Kuruani ambayo aliyeishusha ni Muumbaji haikosei Kamwe. Allahu Akbar Je unaona Kuruani ilivyo? Msibabaike na Wajinga.
Katika Mtandao kuna wapingaji wa Aya za Kuruani zinazohusu Uzazi kwa hoja zisizo na msingi. Ushahidi nilioutoa hapo juu unaangusha hoja hizi za Ujinga. Al-hamdulilahi leo hii tuna ushahidi kwamba Maneno ya Kuruani ni ya ukweli. Allahu Akbar. Mwenyeezi Mungu anasema “Haki Imekuja Na Ujinga Umeondoka”. Maandishi katika mtandao yanasema kwamba Manii (Sperm) yanatoka katika “Testicles” au “Pumbu” na sehemu nyinginezo za mwilini hazihusiki. Wapingaji hao ni katika Waliopungukiwa na Elimu ya Kutosha. Ni katika Wabishi Kwani Wnapinga Aya za Kuruani kwa hoja zisizo na Msingi. Wapo wengi wasio na Elimu yeyote wnajifanya wajanja. Kuruani haina kosa lolote na siyo maneno ya Mtume bali ya Mwenyeezi Mungu.