SCIENTIFIC AND ISLAMIC RESEARCHES

Video Mbalimbali

UTAFITI MBALIMBALI  KATIKA DINI NA SAYANSI

IMEANDALIWA NA  AL-AMIN ALI HAMAD

VIDEO MBALIMBALI

Video ZIfuatazo Namba  1  na 2 Zinahusu Maajabu ya Wanyama wanaposikia Kuruani Na Video Nyinginezo  ni za Miujiza minginetyo  mbalimbali.  Allahu Akbar.

Angalia mwenyewe mpaka mwisho uone maajabu.

VIDEO-1

Maajabu ya Mifugo inavyoitikia Mwito wa Kuruani. Kwa kweli Inapendeza Sana.

Video-2

Video Hii Inaelezea Muujiza wa Kuruani katika Machinjo. Inafundisha namna ya Kuchinja Mifugo kwa njia ya Halali. Sikiliza Vizuri na uiangalie mpaka mwisho kisha ujionee maajabu makubwa. Hata kama huelewi Lugha itaielewa.

VIdeo-3

Huyu Mbwa kwa mara ya kwanza anasikilizishwa ADHANA na maajabu ni kwamba anageuka tabia na kuathirika. Kama kwamba anamtambua aliyemuumba. Angalia Muujiza. Ikiwa Mbwa anamtambua aliyemuumba sasa je sisi Binaadamu mbona tumemsahau Muumba wetu na pia tumekuwa makaidi sana.

Video-4

Kuruani ni Maneno ya Mwenyeezi Mungu. Angalia Video ujionee mwenyewe. Mtoto anaposikilizishwa Kuruani anatulia na anaposikilizishwa nyimbo zinginezo za kidunia analia na kuona kero. Angalia Video mpaka mwisho.