UTAFITI MBALIMBALI KATIKA DINI NA SAYANSI
IMEANDALIWA NA AL-AMIN ALI HAMAD
MICHAEL H. HART ALIANDIKA KITABU MAARUFU KWA JINA “The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History” NA AKAMWEKA MTUME MOHAMED (S.A.W.) NAMBA 1 KATIKA ORODHA YA WATAALAMU 100 DUNIANI
Maandishi ya Michael H. Hart Yanashangaza sana. Huyu siyo Muislamu bali Myahudi ambaye kwa sasa anaishi America. Aliandika Kitabu maarufu sana ambacho kitabu hiki kimefasiriwa katika lugha 15 na baada ya kuchapishwa kilisambazwa duniani na kuuzwa zaidi ya Copy 500, 000 yaani Nusu Milioni. Katika Kitabu Chake amewapanga Wataalamu Maarufu ambao wameleta Mabadiliko Duniani ufuatana na Kazi muhimu walizofanya. Ajabu ni kwamba Mtume Mohamed alimpa Cheo Cha Kwanza yaani ndiyo Kiongozi Wa Dunia Nzima. Usisahau kwamba Mwandishi huyu siyo Muislamu. Yeye ni Yahudi lakini amefanya Uadilifu kama ipasavyo. Angalia Hapa chini orodha Ya hao Wataalamu 10 katika Wataalamu 100 ambao wametajwa katika kitabu hicho.
Katika kitabu hicho anasema yafuatayo:
”My choice of Muhammad to lead the list of the world’s most influential persons may surprise some readers and may be questioned by others, but he was the only man in history who was supremely successful on both the religious and secular levels.Of humble origins, Muhammad founded and promulgated one of the world’s greatreligions, and became an immensely effective political leader. Today, thirteen centuries after his death, his influence is still powerful and pervasive.”
“The majority of the persons in this book had the advantage of being born and raised in centers of civilization, highly cultured or politically pivotal nations. Mohammad, however, was born in the year 570, in the city of Mecca, in southern Arabia, at that time a backward area of the world, far from the centers of trade, art, and learning”.
”Most Arabs at that time were pagans, who believed in many gods. There were, however, in Mecca, a small number of Jews and Christians “.
Maneno Ya Mwandishi yanashangaza sana. Hakuwa Muislamu na Hakubadili Dini. Aliyoyazungumza ni Ukweli Na Kwa Nini Adanganye?
.
1 Muhammad (c.570–632) The central human figure of Islam, regarded by Muslims as the messenger and last prophet of God. Active as a social reformer, diplomat, merchant, philosopher, orator, legislator, and military leader.
2 Isaac Newton (1643–1727) English physicist, mathematician, astronomer, natural philosopher, alchemist, and theologian. His law of universal gravitation and three laws of motion laid the groundwork for classical mechanics.
3 Jesus Christ (7–2 BC – AD 26–36) The central figure of Christianity, revered by Christians as the Son of God and the incarnation of God and regarded as a major prophet in the religion of Islam.
4 Gautama Buddha (563 BC–483 BC) Spiritual teacher and philosopher. Founder of Buddhism.
5 Confucius (551 BC–479 BC) Chinese thinker and social philosopher, whose teachings and philosophy have deeply influenced Chinese, Korean, Japanese, and Vietnamese thought and life.
6 St. Paul (5–67) One of the most notable of early Christian missionaries, credited with spreading Christianity outside of Palestine.
7 Cai Lun (50–121) Widely regarded as the inventor of paper and the papermaking process.
8 Johannes Gutenberg (1398–1468) German printer who invented the mechanical printing press.
9 Christopher Columbus (1451–1506) Italian navigator, colonizer and explorer whose voyages led to general European awareness of the American continents.
10 Albert Einstein (1879–1955) German theoretical physicist, best known for his theory of relativity and specifically mass–energy equivalence, expressed by the equation E = mc2.
Mwenyeezi Mungu anasema katika Sura Ya Al-Araf Namba 7 Aya Namba 158
قُلۡ يَـٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنِّى رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡڪُمۡ جَمِيعًا ٱلَّذِى لَهُ ۥ مُلۡكُ ٱلسَّمَـٰوَٲتِ وَٱلۡأَرۡضِۖ لَآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ يُحۡىِۦ وَيُمِيتُۖ فَـَٔامِنُواْ بِٱللَّهِ وَرَسُولِهِ ٱلنَّبِىِّ ٱلۡأُمِّىِّ ٱلَّذِى يُؤۡمِنُ بِٱللَّهِ وَڪَلِمَـٰتِهِۦ وَٱتَّبِعُوهُ لَعَلَّڪُمۡ تَهۡتَدُونَ (١٥٨)
TAFSIRI
158.Sema (Ewe Nabii Muhammad): “Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu nyinyi nyote; (Mungu) ambaye anao ufalme wa mbingu na ardhi, hapana aabudiwaye (kwa haki) ila yeye; yeye ndiye ahuishaye na ndiye afishaye. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, aliye Nabii Ummiy, (asiyejua kusoma na wala kuandika) ambaye humuamini Mwenyezi Mungu na mancno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka.,
KITABU CHA MUANDISHI Dr. Craig Considine KUHUSU MTUME MOHAMAD ﷺ
The Humanity of Muhammad: A Christian View
Kitabu Hiki kinachohusu Mtume Mohamad (Ni Maoni ya Mkristo kuhusu Mtume Mohamadﷺ . kimeandikwa na Mwandishi anayejulikana kwa jina kama Craig Considine. Bwana huyu ni Mkristo. Ameandika Kitabu Maarufu kinachojulikana kwa jina
“The Humanity of Muhammad: A Christian View”
Tafsiri Kwa Kiswahili
Ubinadamu wa Muhammad: Mtazamo wa Kikristo
Kitabu hiki kinachambua Maadili ya Mtume Mohamad. Ameelezea Maisha Ya Mtume ﷺ na Uadilifu wake. Uhusiano uliokuwako baina ya Wakristo na Waislamu katika Enzi Hizo na Juhudi za Mtume Mohamad katika Kujenga uhusiano mzuri baina ya Dini ya Kiislamu na Kikristo. Kitabu cha huyu bwana kinauzwa katika Sehemu mbali mbali za Mtandao. Mwandishi Huyu asili yake ni Italia. Anaishi America na ni Mkristo (Catholic)
Ningependelea kuleta hapa chini maandishi juu ya Mtu huyu na Pia Picha ya hiki kitabu chake maarufu.
Mwandishi Dakitari Craig Anajielezea hapa Chini.
(I am an American, Christian, & Westerner who is both able & willing to defend the honor of Prophet Muhammad. In fact, the notion of “defending the honor of Muhammad” is literally noted as an aim of my latest book)
MAISHA YA MWANDISHI
Dr. Craig Considine is a scholar, professor, global speaker, media contributor, and public intellectual based at the Department of Sociology at Rice University. He is the author of many books & articles. Dr. Considine’s opinions have been featured in the New York Times, Washington Post, CNN, BBC, CBS News, Fox News, MSNBC, Newsweek, and Foreign Policy. He has been invited to speak at some of the leading international organizations and universities in the world. Dr. Considine is visible on social media. He holds a PhD from Trinity College (University of Dublin), MSc from Royal Holloway (University of London), and BA from American University in Washington, DC. Dr. Considine is a U.S. Catholic of Irish and Italian descent.
MUHTASARI WA KITABU CHAKE
What makes an American Catholic of Irish and Italian descent one of the leading global voices in admiration of Prophet Muhammad? In this overview of Muhammad’s life and legacy, prominent scholar Craig Considine provides a sociological analysis of Muhammad’s teachings and example. Considine shows how the Prophet embraced religious pluralism, envisioned a civic nation, stood for anti-racism, advocated for seeking knowledge, initiated women’s rights, and followed the Golden Rule. Considine sheds light on the side of Prophet Muhammad that is often forgotten in mainstream depictions and media narratives. The Humanity of Muhammad is Considine’s contribution to the growing body of literature on one of history’s most important human beings.

kuhusu Muandishi na Picha ya Kitabu chake alichokiandika. Kinahusu Mtume Mohamad.ﷺ