SCIENTIFIC AND ISLAMIC RESEARCHES

Wanavyuoni Wa Sasa

UTAFITI MBALIMBALI  KATIKA DINI NA SAYANSI

IMEANDALIWA NA  AL-AMIN ALI HAMAD

Video Mbali Mbali Za Wanavyuoni Wa Sasa

Alhamdulilah. Katika Mlango huu nitakusanya Wanavyuoni Mbalimbali wa Africa ambao tunapata faida kubwa kwao.

Mwenyeezi Mungu awabariki na Kuwazidishia Kila la kheri katika juhudi zao zote.

Kwa kweli sitaweka katika mlango huu mdogo Video zote kwani ni nyingi sana lakini angalau Moja, Mbili  au Tatu za Wanavyuoni.

Sina sababu zozote zinazonifanya niwachague au kuwakusanya hapa na kwa kweli wengi siwajui bali nimewasikia katika Mtandao wa You Tube.

Katika Uchaguzi wa Video hizi itategemea nafasi ya website yangu. Sifanyi ubaguzi wa Sheikh yeyote. Ninatamani kuwaweka wote angalau moja ya Video ya kila Mwanachuoni kwani kila mmoja anastahiki kupewa heshima yake.

Na kila mmoja ni sawa na Tofali ya Jengo kubwa. Lengo lao ni moja na kwa hiyo nimeona bora nikusanye kauli zao katika sehemu moja.

Kila  Sheikh Niliyemchagua katika Website hii ni kutokana na Juhudi za Kufundisha  Maneno Ya Mwenyeezi Mungu na hakuna sababu yeyote nyingine.

Kwa hiyo kama kuna Mwanachuoni ambaye sikumweka hapa ni kwa sababu bado sijapata video au nipo katika mishughuliko mingine.

Kuna Wanavyuoni Wengi katika Africa na kwa hiyo siyo rahisi kupata Video zao.

Video-1

Mwanachuoni wa Kwanza Ningependelea Kumkaribisha katika Website Hii ni Rafiki Yangu Mwanachuoni (Scholar) Mkubwa Sheikh Zuberi Kutoka Dodoma. Natuma Salaam Nyingi Sana Kwake. Miaka Mingi Imepita Tangu Nikutane Nae Hapo Dodoma. Alhamdulilahi Amehifadhi Kuruani Yote na Alikuwa kiongozi Wetu.

Video-2

Namuomba Mwenyeezi Mungu ambariki na ampe kila la kheri Sheikh Rusaganya hapo Tanzania-Daresalaam. Mzaliwa wa Kigoma. Msisahau Kwamba Kigoma Kumetoka Wanachuoni Wakubwa. Sheikh Ngariba pia ni Mzaliwa wa Kigoma. Alhamdulilah. Allahu Akbar

Video-3

Mweenyeezi Mungu ambariki na kumpa kila la kheri Sheikh Maalim. Video ya hapo zamani. Anaishi Zanzibar-Tanzania. Zanzibar ni Chimbuko la Wanavyuoni wakubwa na Wwengi ambao itahitajia Vitabu kuwataja mmoja mmoja. Alhamdulilahi. Sheikh Maalim ameanza Kazi ya Daawa kuanzia bado mdogo. Allahu Akbar.

Video-4

Sheikh Shafii Mungu ambariki na amzidishie kila la kheri. Allahu Akbar

Video-5

Mwenyeezi Mungu ambariki Sheikh Shafii. Alhamdulilah

Video-6

Mwenyeezi Mungu ambariki Shekh Mazinge kwa Juhudi zake zote. Allahu Akbar

Video-7

Sheikh Nuruddin Kishk. Hotuba yake miaka mingi iliyopita. Mungu ambariki na ampe kila la kheri. Allahu Akbar

Vodeo-8

Shekh Sharifu. Mwenyeezi Mungu ambariki na ampe kila la kheri. Allahu Akbar

Video-9

Mweenyeezi Mungu ambariki Sheikh Kipozeo. Allahu Akbar

Video-10

Video Nyingine ya Sheikh Kipozeo. namuomba Mwenyeezi Mungu ampe kila la heri. Alhamdulilah.

Video-10

Mwenyeezi Mungu ambariki Sheikh Nyundo. Nimesikia kwamba alifariki. Namuomba Mwenyeezi Mungu amruzuku Pepo ya hali ya Juu. Allahu Akbar

Video-12

Video Ya Sheikh Habib Mazinge. Mwenyeezi Mungu Ambariki.